TBL YAANZISHA PROGRAMU YA MAFUNZO YA KUENDELEZA WAUZAJI WADOGO WADOGO WA VINYWAJI VYAO NCHINI
Meneja Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Emma Oriyo (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya mafunzo ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kushoto ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel Swai
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Dar es Salaam, Abel
Swai (kushoto) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es
Salaam, kuhusu maandalizi ya uzinduzi Programu ya
mafunzo
ya kuendeleza wauzaji wadogo wadogo wa vinywaji vya TBL nchini. Kulia
ni Meneja wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa TBL,Emma Oriyo
TBL YAANZISHA PROGRAMU YA MAFUNZO YA KUENDELEZA WAUZAJI WADOGO WADOGO WA VINYWAJI VYAO NCHINI
Reviewed by crispaseve
on
03:35
Rating:
Post a Comment