MABORESHO YA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NDIO MKOMBOZI WA SIASA NCHINI- MHE. JENISTER MHAGAMA
Waziri
wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama
akijibu hoja za wajumbe kwenye kikao cha kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Katiba na Sheria cha kupitisha bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi wa Saadan wa Mwalimu Nyerere
Jijini dar es salaam.
Mhe.
Dkt Abdallah Possi, Naibu Waziri (Ofisi ya Waziri Mkuu) Sera, Bunge,
Kazi , Vijana, Ajira na Ulemavu akiteta jambo na Msajili wa vyama vya
Siasa Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi kwenye kikao cha kamati ya Kudumu
ya Bunge ya Katiba na Sheria cha kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi
wa Saadan wa Mwalimu Nyerere Jijini dar es salaam.
Msajili
wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe. Jaji Francis S.K Mutungi akitoa
ufafanuzi wa hoja za wajumbe kwenye kikao cha kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Katiba na Sheria cha kupitisha bajeti yam waka 2016/2017 ya Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi wa Saadan
wa Mwalimu Nyerere Jijini dar es salaam. Kushoto ni Waziri wa Sera,
Bunge, Kazi , Vijana, Ajira na Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na Manaibu
waziri ,Mhe Antony P. Mavunde na Mhe. Dkt Abdallah Possi
Mjumbe
wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe Richard Ndassa
akiwasilisha hoja kwenye kikao cha kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba
na Sheria cha kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 ya Ofisi ya Msajili
wa Vyama vya Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi wa Saadan wa
Mwalimu Nyerere Jijini dar es salaam. Kulia ni wajumbe wa kamati.
Waziri
wa Sera, Bunge, Kazi , Vijana, Ajira na Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama
akijibu hoja za wajumbe kwenye kikao cha kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Katiba na Sheria cha kupitisha bajeti ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi wa Saadan wa Mwalimu Nyerere
Jijini dar es salaam. Kulia ni Mhe. Dkt Abdallah Possi, Naibu waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu .
Angelina
Sanga, Katibu kiongozi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria
akiwapitisha wajumbe (hawapo pichani) kwenye vifungu vya bajeti ya
mwaka 2016/2017 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye kikao cha
kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria cha kupitisha bajeti ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi wa
Saadan wa Mwalimu Nyerere Jijini dar es salaam.
Waadhi
ya wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria
wakifuatilia kwa makini mawasilisho ya bajeti ya mwaka 2016/2017 ya
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwenye kikao cha kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Katiba na Sheria cha kupitisha bajeti ya Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa kilichofanyika Leo katika ukumbi wa Saadan wa Mwalimu
Nyerere Jijini dar es salaam.
Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini Mhe. Jaji francis S. K Mutungi pamoja na
Maaafisa Wandamizi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakiwa nje
ya ukumbi wa Saadan wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam Leo kabla
ya kuanza kikao cha kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria cha
kupitisha bajeti ya mwaka 2016/2017 ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa.
MABORESHO YA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA NDIO MKOMBOZI WA SIASA NCHINI- MHE. JENISTER MHAGAMA
Reviewed by crispaseve
on
04:37
Rating:
Post a Comment