Header AD

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AFNYA MKUTANO NA VIONGOZI ILI KUTENGENEZA MKAKATI WA KUDHIBITI UVUVI HARAMU WA KUTUMIA MABOMU

 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Richard Muyungi akiwasilisha mada iliyohusu mapendekezo ya mkakati wa pamoja wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu, katika mkutano wa Makatibu wakuu na wadau wa sekata ya mazingira ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu.
Kushoto Katibu Mkuu ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Profesa Faustin Kamuzora akizungumza katika kikao cha Makatibu wakuu na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira, katika mkutano ulohusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu. Mkutano huo wa ndani ulifanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam. (Picha na Evelyn Mkokoi). Sehemu ya washiriki katika mkutano wa Makatibu Wakuu wa Wizara na wadau wa  sekta husika za masuala ya mazingira uliohusuhusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu.
KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AFNYA MKUTANO NA VIONGOZI ILI KUTENGENEZA MKAKATI WA KUDHIBITI UVUVI HARAMU WA KUTUMIA MABOMU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AFNYA MKUTANO NA VIONGOZI ILI KUTENGENEZA MKAKATI WA KUDHIBITI UVUVI HARAMU WA KUTUMIA MABOMU Reviewed by crispaseve on 07:21 Rating: 5

No comments

Post AD