Header AD

WATANZANIA WANG'ARA MAREKANI.

 Wanafunzi watatu wa shule ya sekondari ya FEZA BOYS Dar es Salaam wamenyakua medali za dhahabu huko Marekani katika mashindano ya uwezo wa kitaaluma ya GENIUS OLYMPIAD yaliyoshirikisha nchi 63 Duniani. Walionyakua medali hizo ni wanafunzi Abdulrazak Juma Mkamia,Rashid Jakaya Kikwete na Abdallah Rubeya
WATANZANIA WANG'ARA MAREKANI. WATANZANIA WANG'ARA MAREKANI. Reviewed by crispaseve on 09:42 Rating: 5

No comments

Post AD