Header AD

Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Suzan Kolimba (Mb), akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Roberto Mengoni na ujumbe wake kwa ajili ya kufanya mazungumzo. 
Dtk. Kolimba akisisitiza jambo kwenye mazungumzo na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Roberto Mengoni. Katika mazungumzo hayo alikuwepo pia Makamu wa Rais wa Shirika la Taifa la Reli la Italia, Bw. Giovanni Roca ambaye amekuja nchini kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya reli baada ya kuhamasishwa na Mhe. Naibu Waziri alipotembelea Italia hivi karibuni. 
Ujumbe wa Italia uliofuatana na Mhe. Balozi ukifuatilia mazungumzo. 
Bw. Charles Faini (kulia), Katibu wa Naibu Waziri na Bw. Salvatory Mbilinyi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakinukuu taarifa muhimu 
Picha ya pamoja
Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje Balozi wa Italia atembelea Wizara ya Mambo ya Nje Reviewed by crispaseve on 06:09 Rating: 5

No comments

Post AD