NAIBU WAZIRI KIGWANGALLA AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA BWENI LA WAZEE KAMBI YA KOLANDOTO NA KUZINDUA JIKO LA NISHATI YA GESI
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt
Hamis Kigwangalla(Mb) akilsililiza Katibu wa Baraza la wazee wa Mkoa wa
Shinyanga Mzee Faustine Sengerema mara baada ya kuweka jiwe la Msingi
katika jengo la bweni la wazee katika makazi ya wazee waisiojiweza ya
Kolandoto mkoani Shinyanga.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wazee na Watoto Mhe. Dkt
Hamis Kigwangalla(Mb) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi
wa Bweni la wazee waishio katika makazi ya wazee wasiojiweza ya
Kolandoto Mhandisi Harold Jackson Mtyana wakati Naibu Waziri huyo
alipofanya ziara ya kukagua ujenzi huo na kuweka jiwe la msingi.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt
Hamis Kigwangalla(Mb) akisililiza matumizi ya nishati ya jiko la gesi
kutoka kwa Afisa Mfawdhi ya Makao ya wazee Kolandoto katika Manispaa ya
Shinyanga, muda mfupi kabla ya uzinduzi wa matumizi ya majiko hayo
katika vituo vya makao ya wazee na watoto hapa nchini.
Naibu
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis
Kigwangalla(Mb) akikata utepe katika moja ya bajaji kuashiria ugawaji na
matumizi rasimi ya bajaji hizo katika makazi ya kulea wazee wasiojiweza
ya Kolandoto Shinyanga kwa niaba ya Makazi mengine nchini.
Naibu
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na Watoto Mhe. Dkt Hamis
Kigwangalla(Mb) akimkabidhi funguo ya bajaji Afisa Mfawidhi wa Makazi ya
Kulea wazee wasiojiweza ya Kolandoto Bi Sophia Kang’ombe kwa niaba ya
maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt
Hamis Kigwangalla(Mb) akimkabidhi Sanduku la Huduma ya kwanza Afisa
Mfawidhi wa Makazi ya Kulea Wazee wasiojiwezaya Kolandoto Bi Sophia
Kang’ombe kwa niaba ya maafisa Wafawidhi katika makazi mengine nchini.
NAIBU WAZIRI KIGWANGALLA AWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA BWENI LA WAZEE KAMBI YA KOLANDOTO NA KUZINDUA JIKO LA NISHATI YA GESI
Reviewed by crispaseve
on
02:21
Rating:
Post a Comment