RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI TANGA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
maelfu ya wananchi waliojitokeza kushuhudia uzinduzirasmi wa Stendi ya
mabasi mpya na ya kisasa ya mji wa Korogwe mkoani Tanga katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya
Korogwe kwenye uzinduzi rasmi wa Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya
mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano
mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

akisalimiana na madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe kwenye
uzinduzi rasmi wa Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya mji huo katika
siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo
Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizindua
rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya mji huo katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapongeza madiwani na viongozi wengine baada ya kuzindua rasmi Stendi
ya mabasi mpya na ya kisasa ya mji huo katika siku ya mwisho ya ziara
yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi baada ya kuzindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya
mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano
mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi baada ya kuzindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya
mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano
mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
wananchi baada ya kuzindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya kisasa ya
mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano
mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akienda
kuagana na wananchi baada ya kuzindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na ya
kisasa ya mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku
tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
mmoja wa wa wananchi baada ya kuzindua rasmi Stendi ya mabasi mpya na
ya kisasa ya mji huo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya
siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Moja ya mabango yaliyokuwa na ujumbe wa changamoto mbalimbali za Korogwe
Wengi walikuwa na kiu ya kusikilizwa kero zao
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza diwani wa kata ya Msima katika siku ya mwisho ya ziara
yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Wananchi
wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli aliposimama kwa muda na kuongea nao katika kata ya Msima
katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo
leo Agosti 7, 2017
Kikosi kazi cha TBC kikirusha mubashara matukio yote ya ziara ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Hapa ni
katika Msima katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano
mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Kikosi
kazi cha TBC kikirusha mubashara matukio yote ya ziara ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Hapa ni katika
Msima katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano
mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitambulisha viongozi alioongozana nao kwa wananchi wa kata ya Msima
katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo
leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsimiliza mwalimu wa shule ya msingi ya Msima aliposimama kuzungumza
na wananchi kata ya Msima katika siku ya mwisho ya ziara yake ya
kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella akielezea
changamoto mbalimbali za wananchi wa kata ya Msima katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
shilingi milioni 5 taslimu Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi ya Msima
kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya shule katika siku ya mwisho ya ziara
yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli ukiingia mjini Handeni katika siku ya mwisho ya ziara yake ya
kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili
katika nyumba ya aliyekuwa Mbunge wa Handeni Marehemu Alhaj Dkt.
Abfdallah Kigoda katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku
tano mkoani Tanga leo Agosti 7, 2017. Pamoja naye ni mjane wa marehemu
Mama Kigoda, dada wa Marehemu Mhe, Asha Kigoda na mtoto wa marehemu
ambaye pia ni Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Omari Abdallah Kigoda
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli waakitoa heshima zao kwenye kaburi la aliyekuwa
Mbunge wa Handeni Marehemu Alhaj Dkt. Abfdallah Kigoda nyumbani kwa
marehemu mjini Handeni katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya
siku tano mkoani Tanga leo Agosti 7, 2017. Pamoja naye ni mjane wa
marehemu Mama Kigoda, dada wa Marehemu Mhe, Asha Kigoda na mtoto wa
marehemu ambaye pia ni Mbunge wa jimbo hilo Mhe. Omari Abdallah Kigoda

akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe alipowasili
wilayani humo katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku
tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe akipungia wanannchi
alipowasili katika uwanja wa mikutano wa Kibaoni kuzungumza nao katika
siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo
Agosti 7, 2017
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwakipungia wananchi wa Handeni
alipowasili katika uwanja wa mikutano kuzungumza nao katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimia wananchi alipowasili katika uwanja wa mikutano kuzungumza
nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani
humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia
wananchi alipowasili katika uwanja wa mikutano kuzungumza nao katika
siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo
Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia
wananchi alipowasili katika uwanja wa mikutano kuzungumza nao katika
siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo
Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia
viongozi wa dini na wananchi alipowasili katika uwanja wa mikutano
kuzungumza nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku
tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Mkuu
wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe akikaribisha wageni wake
wilayani humo katika siku ya mwisho ya ziara Rais ya kikazi ya siku
tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Sehemu
ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mikutano
alipofika kuzungumza nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi
ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017

Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia wananchi wa Handeni katika
uwanja wa mikutano kuzungumza nao katika siku ya mwisho ya ziara ya
Rais ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Handeni katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi
ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Sehemu
ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mikutano
alipofika kuzungumza nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi
ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Sehemu
ya maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mikutano
alipofika kuzungumza nao katika siku ya mwisho ya ziara yake ya kikazi
ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe akitolea ufafanuzi baadhi ya changamoto wilayani humo leo Agosti 7, 2017
Mmoja wa wananchi wa Handeni akitoa kero zake mbele ya Rais Magufuli
Rais Magufuli akimfariji mwananchi huyo kwa matatizo yaliyomsibu
Mmoja wa wananchi wa Handeni akitoa kero zake mbele ya Rais Magufuli
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakiagana na
viongozi na wananchi wa Handeni baada ya kuwahutubia katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakiagana na
viongozi na wananchi wa Handeni baada ya kuwahutubia katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017
Msafara wa Rais Magufuli ukiendelea na safari
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na
wananchi wa Manga aliposimama kwa muda kuongea nao katika siku ya
mwisho ya ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani humo leo Agosti 7,
2017
Mbunge wa Handeni Vijijini Mhe. Mboni Mhita akitolea ufafanuzi masuala mbalimbali wakati Rais Magufuli aliposimama kwa muda katika kijiji cha Kwachaga
Mafundi mitambo wa TBC wakiwa makini kuhakikisha matangazo yanaruka mubashara bila shida
Mkulima wa kijiji cha Manga akieleza kero wazipatazo kwa wafugaji katika kata ya Kwachuma
Mmoja wa viongozi wa wafugaji akifafanua hali ilivyo kata ya Kwachuma
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhe. Godwin Gondwe akitoa maelezo ya changamoto mbalimbali katika kata ya Kwachuma
Rais
Dkt. Magufuli akiagiza kuondolewa kwa Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya
Mazingara baada ya wananchi na Mkuu wa Wilaya kudai amekuwa akitoa
uamuzi usiotoa haki kwa wakulima
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga Mhe. Martine Shigella akimuaga rasmi Rais Dkt.
Magufuli na kumshukuru kwa kutembelea mkoa huo kwa siku tano
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimia wananchi wa kata ya Kwachuma
RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOHITIMISHA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI TANGA
Reviewed by crispaseve
on
07:56
Rating:
Post a Comment