Header AD

KHERI YA KUZALIWA KWA MDAU CHRISPER MALAMSHA WA BAMIZA KIASI BLOG


Leo ni siku ya kuzaliwa blogger Chrisper Malamsha kwa jina maarufu ni BAMIZA BLOG .
Kwanza kabisa natoa shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha leo  tarehe 10 mwezi wa 08 maana ndio kumbukumbu yangu ya kuingia duniani.Namshukuru mama yangu mzazi aliyanizaa na kunilea mpaka hapa nilipo ni kwa uwezo wake nampenda sana mama yangu.
Nawashuku sana ndugu jamaa na marafiki zangu wote kwa support wanazonipa ili nifikie malengo niliyojiweke na Pia sina budi kuwashukuru Mablogger wanaonipa support ya nguvu maana bila ninyi mablogger sidhani kama kazi hii ingeendelea mpaka kufikia hapa na pia kuna baadhi yao unielekeza kwa kunikosoa hata kunifundisha ni kipi cha kufanya il niweze kufikia malengo,Na pia washukuru wadau wetu wanaotembelea Blog Yetu ya Bamiza Blog  maana bila nyie mimi nisingekuwa nafanya kazi hizi.
Asanteni sana na pia nawapenda sana mungu awalinde na awasimamie katika ujenzi wa taifa letu
KHERI YA KUZALIWA KWA MDAU CHRISPER MALAMSHA WA BAMIZA KIASI BLOG KHERI YA KUZALIWA KWA MDAU CHRISPER MALAMSHA WA BAMIZA KIASI BLOG Reviewed by crispaseve on 11:36 Rating: 5

No comments

Post AD