TAASISI YA MWANAMKE USUKANI YAFANYA ZIARA YA KUWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA MUHIMBILI-MOI NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI
Baadhi
ya Wanafunzi wa Taasisi ya Mwanamke kwenye Usukani ambao wamefanya
ziara katika Hospitali ya Muhimbili Moi kwa ajili ya kutoa damu na
misaada mbalimbali.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Wanawake Usukani Bw.Martin Gabone akizungumza na
waandishi wa habari wakati wa Ziara yao ya kuwatembelea wagonjwa pamoja
na kutoa misaada mbalimbali katika kitengo cha Moi-Muhimbili jijini Dar
es salaam
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Wanawake Usukani Bw.Martin Gabone wa kwanza kushoto akiwa
na wanafunzi wake ambao wanasomea mambo ya udereva walipofanya Ziara
yao ya kuwatembelea wagonjwa pamoja na kutoa misaada mbalimbali katika
kitengo cha Moi-Muhimbili
Mwanafunzi
kutoka Taasisi ya Mwanamke Usukani,Mary Kihanga akiongea na waandishi
wa habari ( hawapo pichani) akielezea namna walivyoweza kujitolea kwa
ajili ya kusaidia wagonjwa mbalimbali katika hospitali ya Muhimbili.
Afisa
Uhusiano wa Taasisi ya Moi, Patrick Jonh akiishukuru Taasisi ya
Mwanamke Usukani kwa kuweza kutoa misaada mbalimbali katika kitengo
hicho .
Wakitoa misaada katika vitanda vya wagonjwa ambao wamelazwa Muhimbili.
Mwakilishi wa Polisi WP Saburi Chutto wa kwanza kushoto wakimsikiliza mgonjwa aliyelazwa katika hospitali ya Muhimbili
Wanafunzi toka Taasisi ya Mwanamke Usukaniwakisubiri kutoa damu kwa ajili ya wagojnwa mbalimbali katika Kitengo cha Moi
………………….
Taasisi
ya tiba na mifupa Muhimbili MOI imewashukuru taasisi ya Wanawake
Usukani kwa kwenda kutoa misaada mbalimbali katika kitengo hicho
ambacho ni muhimu kwa jamii .
Afisa uhusiano wa taasisi hiyo Patrick Jonh amesema hayo leo jijini Dar es salaam alipotembelewa na taasisi hiyo kwenda kuchangia damu kwa wagonjwa wanaohitaji damu, kwani katika kitengo hichi kina uhitaji mkubwa wa damu ili waweze kusaidia wagonjwa.
Kupitia mkurugenzi wa kampuni ya Wanawake Usukani Martin Gabone ambae anendesha mradi wa kuwajengea wanawake uwezo amesema kuwa wamenda kutoa misaada hiyo kwani kupita taasisi hiyo wanawake wanafursa ya kujifunza udereva hivyo ni chachu hata wao pindi watakapopata ajali waweze kusaidiwa kama leo walivyofanya wao pia iwe kioo kwa watu wengine waweze kwenda kuchangia damu na kutoa misaada.
Aidha aliongeza kuwa jamii inabidi iondokane na dhana ya kwamba wanawake hawawezi kuamua jambo, kwani sasa kuna fursa nyingi ambazo wan awake wanaweza kujikomboa kiuchumi na hata kijamii.
Afisa uhusiano wa taasisi hiyo Patrick Jonh amesema hayo leo jijini Dar es salaam alipotembelewa na taasisi hiyo kwenda kuchangia damu kwa wagonjwa wanaohitaji damu, kwani katika kitengo hichi kina uhitaji mkubwa wa damu ili waweze kusaidia wagonjwa.
Kupitia mkurugenzi wa kampuni ya Wanawake Usukani Martin Gabone ambae anendesha mradi wa kuwajengea wanawake uwezo amesema kuwa wamenda kutoa misaada hiyo kwani kupita taasisi hiyo wanawake wanafursa ya kujifunza udereva hivyo ni chachu hata wao pindi watakapopata ajali waweze kusaidiwa kama leo walivyofanya wao pia iwe kioo kwa watu wengine waweze kwenda kuchangia damu na kutoa misaada.
Aidha aliongeza kuwa jamii inabidi iondokane na dhana ya kwamba wanawake hawawezi kuamua jambo, kwani sasa kuna fursa nyingi ambazo wan awake wanaweza kujikomboa kiuchumi na hata kijamii.
TAASISI YA MWANAMKE USUKANI YAFANYA ZIARA YA KUWATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA MUHIMBILI-MOI NA KUTOA MISAADA MBALIMBALI
Reviewed by crispaseve
on
03:07
Rating:
Post a Comment