Header AD

Tigo Fiesta SupaNyota 2017 yapata mwakilishi toka mkoa wa Rukwa

Majaji wakijadiliana jambo.

Top 6 walioingia kwenye mchujo

Mshindi wa Tigo Fiesta SupaNyota 2017 mkoani Rukwa , Ze Battle 16 akifanya yake kwenye steji.

Meneja Biashara na Masoko Tigo nyanda za juu kusini, Oliver Baltazar  akishuhudia mshindi wa Tigo fiesta supanyota mkoani Rukwa, Ze Battle 16 akipongezwa na mshindi wa pili, Ambrose mara baada ya kumtangaza mshindi. Kushoto ni Meneja Mauzo Tigo mkoa Rukwa Francis Ndad
Majaji wa Tigo Fiesta Supa Nyota wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi aliyepatikana mkoani Rukwa, Ze Battle 16.
Tigo Fiesta SupaNyota 2017 yapata mwakilishi toka mkoa wa Rukwa Tigo Fiesta SupaNyota 2017 yapata mwakilishi toka mkoa wa Rukwa Reviewed by crispaseve on 03:08 Rating: 5

No comments

Post AD