WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January
Makamba (kulia) hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa
Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad (katikati) Mtaa wa Luthuli
jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine wamejadili namna ya
kuendelea kushirikiana katika sekta ya Hifadhi na Usimamizi endelevu wa
mazingira nchini.
Sehemu
ya wajumbe kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na wale wa Ubalozi wa Norway
wakifuatilia majadiliano hayo baina ya Balozi wa Norway nchini Tanzania
Hanne-Marie Kaarstad na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano
na Mazingira Mhe. January Makamba hii leo jijini Dar es Salaam.
Waziri Makamba akiongea na wageni kutoka Ubalozi wa Norway hapa nchini walipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA
Reviewed by crispaseve
on
07:47
Rating:
Post a Comment