MATUKIO KATIKA PICHA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA OFISINI MJINI DODOMA
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Italia nchini
Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati Balozi huyo alipomtembelea
ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Italia nchini
Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati alipomtembelea ofisini kwake
Bungeni Mjini Dodoma
Naibu
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Italia
nchini Tanzania Mheshimiwa Roberto Mengoni wakati Balozi huyo
alipotembelea Ofisi za Bunge Mjini Dodoma
MATUKIO KATIKA PICHA BALOZI WA ITALIA NCHINI TANZANIA AMTEMBELEA SPIKA OFISINI MJINI DODOMA
Reviewed by crispaseve
on
11:45
Rating:
Post a Comment