Header AD

BIASHARA YA MICHE YA MITI YA MATUNDA - AGRI-BUSINESS PRODUCT


Tunauza na kusambaza miche ya miti ya matunda, kwa mikoa ya dar es salaam Pwani na Morogoro, tunaanzia
Bei Tsh. 2500 kwa mche mpka Tsh.5000
Pia tunauza miche ya miti ya matunda kama vile miembe, michungwa, chenza, parachichi nk. Kwa shilingi 2500.
Tunauza miche ya minazi ipo ya aina 2, east African tall inaanza kutoa nazi kuanzia miaka 7 life span yake ni miaka 100, na mbegu fupi inaanza kutoa nazi kuanzia miaka 3 life span yake ni miaka 45, gharama ni Tsh 5000 kwa mche,..
Miche ya papai shilingi 5000.
Hii ni AGRI-BUSINESS PRODUCTS
Kama unahitaji miche ya aina tofauti wasiliana nasi tutaiandaa kwa ajili yako
NB: Gharama zitapungua kulingana na idadi ya miche unayohitaji, ofisi zetu zipo ndani SUA University Morogoro..
Malipo ni baada ya kupatiwa huduma karibuni sana
Contacts.
WhatsApp/call/text
0764441966
0659818565
0788135484
BIASHARA YA MICHE YA MITI YA MATUNDA - AGRI-BUSINESS PRODUCT BIASHARA YA MICHE YA MITI YA MATUNDA - AGRI-BUSINESS PRODUCT Reviewed by crispaseve on 05:15 Rating: 5

No comments

Post AD