Waziri Mkuu Mizengo Pinda -- JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU WAZIRI MKUU...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa mkoa wa Rukwa uhakikishe unamaliza tatizo la upungufu wa madawati ili watoto wa shule za msingi wasiendelee kukaa chini.
Reviewed by crispaseve
on
02:24
Rating: