HILI NDIO JENEZA BANDIA AMBALO WANACHAMA WA CUF WALIMTENGENEZEA MGOMBEA WA CCM TANGA.
Hii ni leo maeneo ya kata ya Msambweni jijini Tanga area 96.0 ambapo wanachama wa CUF wameamua kumtengenezea jeneza bandia Aliekua mgombea wa CCM baada ya kushindwa kwenye uchaguzi wa kata hiyo ambayo imechukuliwa na CUF.
Post a Comment