KAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio (wa kwanza Kushoto)
akiongea na wabunge wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakati
wabunge hao walipotembelea Banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea Kufanyika katika
Viwanja Vya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam.Katikati ni Mwenyekiti wa
Kamati hiyo, Mh Luhoga J Mpina.
Wabunge
wa Kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakisikiliza maelezo kuhusiana
na huduma mbalimbali zitolewazo na mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka Kwa afisa
uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele (mwenye suti
nyekundu) wakati walipotembelea banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya
Sabasaba vilivyopo katika Barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam. Wa
Kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh
William Erio.
Mkurugenzi
Mkuu wa PPF, Mh William Erio (wa kwanza kushoto) akiwapatia maelezo ya
ziada wabunge wa kamati ya Uchumi , Viwanda na Biashara wakati
walipotembelea banda la PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya
Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya
Sabasaba Jijini Dar Es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Bunge ya Uchumi , Viwanda na Biashara, Mh Luhago Mpina
(aliyenyoosha mkono) akiuliza swali kwa Mfanyakazi wa Mfuko wa Pensheni
wa PPF wakati walipotembelea banda la PPF katika maonyesho ya 38 ya
biashara ya kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiwaonyesha Wabunge
wa kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara michoro ya Majengo inayoonekana
kwenye runinga (haipo pichani) yanayotarajiwa kujengwa na PPF ikiwa
njia mojawapo ya uwekazaji utakaofanywa na Mfuko Wa Pensheni wa PPF.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiwaonyesha wabunge
wa kamati ya Uchumi, Viwanda na Biashara miradi mbalimbali inayotarajiwa
kuanza kutekelezwa na mfuko huo wakati wabunge hao walipotembelea banda
la PPF katika Maonyesho ya Sabasaba aliyesimama ni Afisa Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anna Shayo.Picha Zote na Josephat Lukaza - Lukaza Blog
KAMATI YA BUNGE YA UCHUMI, VIWANDA NA BIASHARA YAIWAGIA SIFA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KWA HUDUMA NZURI ZINAZOTOLEWA NA MFUKO HUO
Reviewed by crispaseve
on
03:13
Rating:
Post a Comment