MIKUTANO YA HADHARA YA WAZIRI WA UJENZI NA MBUNGE WA CHATO DKT. JOHN MBUNGE KATIKA KATA MBALIMBALI.
Mbunge
wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua
kujiunga na chama hicho mara baada ya Mbunge huyo kufanya Mkutano mkubwa wa hadhara
katika kijiji cha Nyabugela, kata ya Mganza katika Wilaya ya Chato leo.
Mbunge
wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli
kihutubia mamia ya wakazi wa kata ya Mganza katika Wilaya ya Chato leo
Wananchi
wa Kata ya Mganza wakimfurahia Mbunge wa Jimbo lao la Chato Mheshimiwa Dkt.
John Magufuli wakati akiwahutubia na kuwasisitiza wafanye kazi kwa bidii ili
waweze kujiletea Maendeleo
Mbunge
wa Jimbo la Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli
akiwapokea wanachama wapya zaidi ya 100
walioamua kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya mbunge huyo
kumaliza hotuba yake
Wanachama
wapya wa Chama cha Mapinduzi kata ya Mganza wakila kiapo mbele ya Mbunge wao
Mheshimiwa Dkt.John Magufuli ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi baada ya
kukabidhiwa kadi za uanachama hivi leo
MIKUTANO YA HADHARA YA WAZIRI WA UJENZI NA MBUNGE WA CHATO DKT. JOHN MBUNGE KATIKA KATA MBALIMBALI.
Reviewed by crispaseve
on
03:15
Rating:
Post a Comment