TBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR
Meneja
wa Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo ,
akifurahia tuzo ya udhamini kwa upande wa vinjwaji katika Maonesho ya 38
ya Biashara ya Kimataifa baada kuipokea kutoka kwa Makamu wa Pili wa
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi, Seif Alli Idd Dar es
Salaam.Katikati ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalla Kigoda.
TBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR
Reviewed by crispaseve
on
03:12
Rating:
Post a Comment