MAKABIDHIANO YA OFISI WIZARA YA HABARI ZANZIBAR
Aliyekuwa waziri wa habari utamaduni utalii na michezo Abdilah Jihad Hassan akimkabidhi wizara na majukumu yake waziri mpya wa wizara hiyo Said Ali Mbaruok hafla hii ya makabidhiano ilfanyika ukumbi wa VIP wa salama hall Bwawani nmjini Zanzibar
Waziri wa zamani wa habari utali utamaduni na michezo Abdillah Jihad Hassan ambaye kwa sasa ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi akitoa maelezo juu ya kukabidhi wizara hiyo.
Waziri wa habari utama utamaduni utalii na michezo Said Ali Mbaruok akizungumza baada ya kukabidhiwa rasmi wizara hiyo. (Picha na Hamad Hija Maelezo)
Post a Comment