PINDA ALIPOONGOZA UPANDAJI MITI SINGIDA
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akipanda mti kwenye chanzo cha maji katika kijiji cha Ilongero, Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti. Aliyesimama kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Vincent Perseko Ole Kone.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua kisima kirefu cha maji baada ya kuongoza upandaji miti katika kijiji cha Ilongero , Singida Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji iti Kushoto ni mkuu wa mkoa huo, Vincent PersekoOle- Kone.
Wanafunzi wakipanda miti katika chanzo cha maji cha kijiji cha Ilongero, Singida ambako waziri Mkuu Mizengo Pinda aliongoza shughuli hiyo Aprili 1, 2012 ikiwa ni siku ya kitaifa ya upandaji miti (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)
Post a Comment