Header AD

Taswira Za Show Ya Msanii Linah ilivyopagawisha Wadau Washington DC

 
 Linah akiwa na Wadau Washington DC nchini Marekani Muda mfupi kabla ya kuwasha moto kwenye  show yake
 Linah akivuta hisia kwneye show yake Washington DC
 
 Mdau akichukua taswira ya mwimbaji Linah alipokua akiwasha moto kwenye show yake Washington DC nchini marekani
 Wadau mbalimbali wakicheza kwa furaha songi mbalimbali zilizokua zikiporomoshwa na msanii Linah kutoka Tanzania kwenye show yake iliyofana sana Washington DC nchini Marekani
 Linah akiiimba kwa hisia kwenye show yake DC
 
 Linah akikonga nyoyoo za mashabiki wake kwenye show yake ya kukata na shoka Washington DC
 Linah(kulia)akiwa na wadau
Warembo mbalimbali waliojitokeza kwenye show ya linah Washington DC nchini Marekani
-- 
Mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya,Estalina Sanga 'Linah' amepagawisha wadau mbalimbali Washington DC nchini Marekani mabapo tarehe 21 Mwezi Huu anatarajia kupagawisha wadau wa Miji ya COLUMBUS OHIO
Reviewed by crispaseve on 04:00 Rating: 5

No comments

Post AD