Header AD

MAHAFALI YA 36 YA USTAWI WA JUU YANAYOENDELEA HIVI SASA

 Dkt. Hussein Mwinyi akikata utepe wa kitabu kuashiri uzinduzi rasmi wa mahafali ya 36 ya chuo cha Ustawi wa Jamii
Meza kuu ikiongozwa naMgeni rasmi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi ,Mkuu wa chuo, Dkt. Abu Mvungi  (kulia) , Mwenyekiti wa Bodi ya chuo, Prof. Msambi Chako (kushoto) na Rais wa ISWOSO, Frank Nkunda
 Mgeni rasmi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi akiongoza msafara wa Wahitimu kuingia ukumbini
Baadhi ya wahitimu kutoka Chuo Cha Ustawi Wa Jamii Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kukabidhiwa shahada na Stashahada zao leo
 Brass Band nayo haikuwa nyuma kuwaongoza wahitimu kuingia ukumbini wa Mahafali
 Mkuu wa chuo, Dkt. Abu Mvungi akitoa hotuba ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi
 Wahitimu mbalimbali wanaohitimu leo
 Mwenyekiti wa Bodi ya chuo, Prof. Msambi Chako akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi.Picha Na Emmanuel Shiratu Wa Lukaza Blog
Reviewed by crispaseve on 05:10 Rating: 5

No comments

Post AD