WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA KISASA KATIKA JIMBO LA KATAVI
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
akiangalia shamba la mahindi katika kijiji cha Mwamapuli ambalo lime
pandwa kwa kufuata mstari.Kushoto kwake ni mtalamu wa mifugo uvuvi na
nyuki kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,Nemes Makembe na anaye fuatia ni
Kanali Ngerema Rubinga ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda
anaonekana akipiga picha twiga ambaye alikuwa jirani na bwalo la chakula
katika hifadhi ya katavi ambapo Waziri Mkuu alikuwepo kwa ajili ya
kupata chakula cha mchana baada ya mkutano wa hadhara katika kijiji cha
stalike.Nyuma yake ni Mhifadhi Mkuu wa Mbuga ya Katavi,Jonh Gara.
Kikundi cha kina mama wa kijiji
cha Mbede kinachoitwa Maswolwa kiki cheza ngoma ya Nsimba wakati Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda alipo wasili katika kijiji hicho kwa ajili ya mkutano
wa hadhara.Waziri Mkuu ambaye ni Mbunge wa jimbo la Katavi yupo mkoani
hapa kwa ajili ya kuhamasiha shughuli za maendeleo.Picha na Chris
Mfinanga
Reviewed by crispaseve
on
05:11
Rating:
Post a Comment