BANDARI YA ZANZIBAR YAICHAPA FALCON KATIKA LIGI KUU YA ZANZIBAR
Mchezaji
wa Falcon (kulia) akimkwatua mshambuliaji wa Bandari. Katika mchezo huo
wa Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar uliochezwa kwenye Uwanja wa Aman
jana, Bandari ilishinda maba 2-0 dhidi ya Falcon.
Wachezaji
wa Bandari na Falcon wakigombea mpira kwenye pambano lao la ligi kuu ya
Grand Malt ya Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan jana.
Mlinzi Rashid Omar wa Bandari (kulia) akimzuia mshambuliaji wa Falcon, Mbarouk Marshed.Picha zote na Martin Kabemba.
Post a Comment