Header AD

SHINDANO LA REDD'S MISS TANZANIA 2013 LAZINDULIWA

Baadhi ya Warembo walioshirikishi Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2012 wakicheza muziki wa aina ya Kwaito wakjati wa tafrija maalum ya uzinduzi wa Mashindano ya Miss Tanzania 2013 Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Machi 14, 2013. Kulia ni Redd’s Miss Tanzania 2012, Brigit Alfred.
 Redd's Miss Tanzania 2012, Brigit Alfred (katikati) akigonganisha glass na
Mkurugeni wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ni Wadhamini wakuu wa Shindano la Miss Tanzania,Kushilla Thomas (klia) pamoja na Mkurugenzi wa Lino International Agency waandaaji wa Miss Tanzania,Anko Hashim Lundenga ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa mbio za kumsaka Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2013 wakati wa tafrija mchaparo a.k.a mkia wa jogoo (cocktail party),iliyofayika usiku huu kwenye Ukumbi wa Maqee,uliopo Serena Hoteli,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ya Jijini Dar es Salaam, ambao ndio waandaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga akitoa hotuba ya ufunguzi, wa Shindano la kumsaka Malkia wa Tanzania 2013
Reviewed by crispaseve on 10:36 Rating: 5

No comments

Post AD