Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi Tanzania, David Mgwassa akizungumza na
baadhi ya waombolezaji waliofika kumfariji kwa kufiwa mamake mzazi
Suzan Mgwassa, Kijitonyama, Dar es Salaam. Mwili utasafishwa leo kwenda
kwao Manda, Ludewa kwa mazishi.
Wakurugenzi
wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, wakitoa heshima kwa
mwili wa mamake, David Mgwassa. Benny Kisaka (kulia), Juma Pinto
(kushoto) na Juma Mabakila.
Mjukuu
wa marehemu Suzan Mgwassa, Isaack Mgwassa 9kulia0 akijadiliana jambo na
maaskofu wa Kanisa la Pentekoste wakati wa msiba huo.
Sehemu ya waombolezaji
Kwaya ya Kanisa la Pentekoste ikomboleza kwa nyimbo za injili wakati wa kuaga mwili wa marehemu Suzan
David
Mgwassa (wa pili kulia) akijadiliana jambo na maaskofu wa Kanisa la
Pentekoste waliokwenda kuuombea mwili kabla kusafirishwa
David Mgwassa akifarijiwa na mmoja wa waombolezaji
Mgwassa akifarijiwa na mmoja wa waombolezaji
Waombolezaji wakipata mlo
Mgwassa akizungumza na Abdul Sisco (kushoto)
Mkurugenzi Mtendaji wa Montage Teddy Mapunda (aliyevaa miwani) akishiriki kwenye msiba hu.Picha zote na Mdau Richard Mwaikenda
Post a Comment