MAELFU WAJITOKEZA MKOANI MOROGORO KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR, WATU KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA FAHAMU.
Pichani ni mwanamuziki M To The P akiwa haamini muda mfupi baada ya kutoka Afrika Kusini alikuwa anapatiwa matatibabu.
Pichani ni wananchi wa mkoa wa 
Morogoro waliojitokeza katika viwanja vya Jamhuri kuja kutoa salamu za 
mwisho kwa kipenzi cha watu Albert Mangwair.
Pichani ni mwananchi wa mkoa wa 
morogoro akipewa huduma ya kwanza na kikosi cha msalaba mwekundu baada 
ya kuzimia, mpaka sasa takribani watu kumi wamepoteza fahamu.
Hali ndio ilivyo, uwanja wa Jamhuri 
mkoani Morogoro umejaa sio kawaida, watu kutoka mikoa mbalimbali 
wamekuja kumsindikiza kipenzi chao Albert mangwair katika safari yake ya
 mwisho.
Pichani ni baadhi ya wanafunzi ambao wanadai wameruhusiwa shuleni ili kuja kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu albert Mangwair.

 
Post a Comment