Header AD

LIVE KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KATIKA SHOW YA PSQUARE.


 
Baadhi ya mashabiki ambao wameingia tayari katika Viwanja vya Leaders kwa shoo ya P-Square.
Mpaka sasa saa 3: 18 usiku  bado shoo haijaanza na wananchi bado wanazidi kuingia ndani ya Viwanja vya Leaders kwa ajili ya burudani kali kutoka kwa wakali hao Peter na Paul Okoye. Tutazidi kuwaletea matukio kadri muda unavyokwenda!
(Picha na Musa Mateja / GPL)
LIVE KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KATIKA SHOW YA PSQUARE. LIVE KUTOKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB KATIKA SHOW YA PSQUARE. Reviewed by crispaseve on 13:24 Rating: 5

No comments

Post AD