Q-Tip
ameonekana akiwa studio na rapper mkali wa mwaka 2013 Kendrick
Lamar. Q-Tip Ni old time rapper na producer aliye fanya kazi na wasanii
wengi akiwemo Timbaland, T.I , Na Pharell Williams, Mobb Deep, Nas, Jay Z
na Kanye West.
Picha, Kendrick Lamar Na Producer Q-Tip Wakifanya Mambo Mapya
Reviewed by crispaseve
on
11:53
Rating: 5
Post a Comment