Header AD

DAVID BEKHAM ATOKELEZEA SARE SARE NA MWANAE WA KIKE HARPER.

David Beckham, Harper Backham

Msakata Kabumbu David Bekham akiwa amembeba mwanae wa kike, Harper wakiwa katika matembezi jijini London, Uingereza.
Msakata kabumbu wa zamani wa timu ya Manchester United, David Robert Joseph Beckham a.k.a David Bekham alikutwa na kamera za mapaparazi akikatiza mitaa ya Errands jijini  London akiwa amembeba mtoto wake wa kike anayeitwa Harper Bekham huku mtu na baba yake wakiwa wamevalia mavazi yanayoendana kuanzia juu mpaka chini,
katika hali iliyoonyesha nyumba ya Bekham ni nyumba ya vipaji katika soka na mitindo, mtoto wa nyota huyo alikuwa amevalia taiti ya maruni, koti la brown kisha kumalizia na viatu vya rangi ya brown huku baba yake ambaye ni mtu wa fasheni akitupia kofia aina ya newsboy, surual aina ya jinsi na kumalizia na sweta ya maruni hali iliyofanya wapendeze baada ya kutoka kufanya manunuzi madogo maeneo ya karibu na makazi anayoishi mwanasoka huyo ya Kensington
DAVID BEKHAM ATOKELEZEA SARE SARE NA MWANAE WA KIKE HARPER. DAVID BEKHAM ATOKELEZEA SARE SARE NA MWANAE WA KIKE HARPER. Reviewed by crispaseve on 23:51 Rating: 5

No comments

Post AD