Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rapa anayetokea katika lebo tajiri ya Young Money Cash Money, Dwayne Michael Carter, Jr.(31) better known by his stage name Lil Wayne, Jumapili iliyopita alifumwa na kamera za mapaparazi katika jiji la Miami kwenye klabu moja ya usiku ya LIV akilabata sambasamba na wasanii wenzake Busta Rhymes, Euro na Dj maarufu Scoob Doo., rTunenchi aliambatana na mchumba wake wa muda mrefu Dhea, Tazama picha hizo hapa..
Back To Top
Post a Comment