WANAWAKE HAWA WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA WALIYOKUWA WAMEYAFICHA KATIKA NEPI WALIZOVAA UWANJA WA NDEGE WA JFK MAREKANI.
Wakati biashara ya usafirishaji wa madawa ya kulevya ikiwa imeshamiri hasa kwa nchi za Afrika na bara la Ulaya, wanawake wawili walikamatwa na katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa John F. Kennedy uliopo katika jiji la New York, maafisa wa usalama uwanjani hapo waliweza kubaina wadada hao ambao walikuwa wamefungusha takribani kilo 6.5 katika nepi walizokuwa wamezivaa, unga huo ambao ulikadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani 85,000 ulikuwa ukisafirishwa kutoka jamhuri ya Dominika kuingia New York Marekani ndipo wadada hao waliweza kubainika.
WANAWAKE HAWA WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA WALIYOKUWA WAMEYAFICHA KATIKA NEPI WALIZOVAA UWANJA WA NDEGE WA JFK MAREKANI.
Reviewed by crispaseve
on
23:42
Rating:

Post a Comment