Header AD

FUNGA MWAKA:!!!!!AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA!


Aunt Ezekiel.
LICHA ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka.Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni nyumbani kwake Mwananyamala jijini Dar, msanii huyo ambaye alibadili dini kutoka ukristo na kuwa muislam baada ya kuolewa na mumewe, Sunday Demonte alisema anajisikia kurudi kwenye ukristo kwa madai ya kumtumikia Mungu kikamilifu.
Akionesha msisitizo katika hilo, Aunt alisema moyo wake umekuwa ukitamani kusikiliza mafundisho na mahubiri ya kikristo pamoja na kusikiliza nyimbo mbalimbali za injili.
FUNGA MWAKA:!!!!!AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA! FUNGA MWAKA:!!!!!AUNT EZEKIEL ATAMANI KUOKOKA! Reviewed by crispaseve on 22:59 Rating: 5

No comments

Post AD