Header AD

KHADIJA KOPA ALIA WANAUME KUMSUMBUA


MALKIA wa Mipasho Bongo, Khadija Omar Kopa amefunguka kuwa, tangu atoke eda amekuwa akisumbuliwa na wanaume wengi wakitaka kumuoa licha ya yeye kutokuwa na mawazo hayo kwa sasa.
Akizungumza hivi karibuni jijini Dar, Khadija alisema kiukweli mawazo ya kumtafuta mrithi wa marehemu mume wake, Jafari Ally, hayapo kwa sasa ila amekuwa akipokea simu nyingi na meseji kibao za wanaume wanaoomba nafasi.  

KHADIJA KOPA ALIA WANAUME KUMSUMBUA KHADIJA KOPA ALIA WANAUME KUMSUMBUA Reviewed by crispaseve on 23:00 Rating: 5

No comments

Post AD