MUIGIZAJI IDRIS ELBA ALIYEIGIZA KAMA NELSON MANDELA ACHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA GOLDEN GLOBE KUPITIA FILAMU YA LONG WALK TO FREEDOM.
Idris Elba.
Muigizaji maarufu mweusi ambaye ni Raia wa Uingereza, Idrissa Akuna a.k.a “Idris” Elba(41) amechaguliwa kuwania tuzo za Golden Globe kwenye kipengele cha Muigizaji bora wa kiume kupitia filamu ya ‘Long Walk To Freedom’ aliyoigiza kama Nelson Mandela akipigani uhuru na kutetea watu weusi.
Chiwetel Ejiofor
Muigizaji mwingine mweusi aliyechaguliwa kuwania tuzo hizo kubwa ni pamoja na Chiwetel Ejiofor(36) raia wa Uingereza baada ya kuigiza kama Solomon Northup katika filamu ya ‘12 Years A Slave’ ,. waigizaji hao wawili wanachuana na waigizaji wengine katika tuzo hizo ambao ni Tom Hanks kwenye filamu ya Captain Phillips, Matthew McConaughey – Dallas Buyers Club na Robert Redford – All is Lost.
Tazama kipande hiki kifupi cha filamu ya ‘Long Walk To Freedom’ alichoigiza Idris Elba kama Nelson Mandela
MUIGIZAJI IDRIS ELBA ALIYEIGIZA KAMA NELSON MANDELA ACHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA GOLDEN GLOBE KUPITIA FILAMU YA LONG WALK TO FREEDOM.
Reviewed by crispaseve
on
21:33
Rating:

Post a Comment