Header AD

OKWI AWASILI DAR ALAKIWA KWA NDEREMO NA WANAYANGA


 Mchezaji Emmanuel Okwi (katikati) akilakiwa na wapenzi wa timu ya Yanga alipowasili jioni hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Okwi ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Simba ameingia mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu.



OKWI AWASILI DAR ALAKIWA KWA NDEREMO NA WANAYANGA OKWI AWASILI DAR ALAKIWA KWA NDEREMO NA WANAYANGA Reviewed by crispaseve on 13:27 Rating: 5

No comments

Post AD