BFREAKING NEWSS HAPA NDIPO ATAZIKWA WAZIRI DR MGIMWA
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu kulia akimpa pole mama mzazi wa waziri Dr Mgimwa leo |
| Ndugu na jamaa wakiwa katika kikao cha familia kupanga taratibu za mazishi nyumbani kwa marehemu leo |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu wa nne kulia akilia kwa uchungu baada ya kufika nyumbani kwa marehemu Dr Mgimwa leo |
| Maandalizi mbali mbali yakiendelea nyumbani kwa marehemu Dr Mgimwa |
| Aliyekuwa katibu wa Dr Mgimwa kushoto Bw Simangwa akiwa na viongozi wa CCM mkoa na wilaya leo nyumbani kwa marehemu |
| wananchi wakipeleka maji msibani |
| Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi wa CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa katika kijiji cha Magunga jimbo la Kalenga ambalo atazikwa |
| Makaburi ya familia ya Mgimwa |
BFREAKING NEWSS HAPA NDIPO ATAZIKWA WAZIRI DR MGIMWA
Reviewed by crispaseve
on
12:24
Rating:

Post a Comment