Header AD

MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI AFANYA KIKAO KIZITO BUKOBA LEO.CHAMFUKUZISHA KAZI MEYA NA WENGINE KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.



Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Ludovick Utouh akitoa taarifa ya ukaguzi maalum leo Bukoba.
Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Agrey Mwanri akiendelea kutoa Maelezo ya Serikali. Kuhusu Suruhisho hilo ambapo yamebainika Makosa ya Meya Anatory kufanya makubaliano bila idhini ya Madiwani na Taratibu za serikali, Basi ajipime Mwenyewe na Kujiuzulu mara moja kwa Maslahi ya Manispaa ya Bukoba.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Mh.Fabian Massawe akimkaribisha mgeni Rasmi leo kwenye kikao hicho cha kukamilisha Ukaguzi Maalum" Exit Meeting"  Cha mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali leo Januari 17.2014 Mjini Bukoba ambapo kikao hicho kilianza mapema saa 5 Asubuhi.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye kikao hicho kizito kilichofanyika leo mjini Bukoba na kupelekea Meya Anatory Amani kujiuzulu kufuatia ubadhirifu wa fedha uliobainika.
==
SOMA TAARIFA YA CAG HAPA CHINI.
===== =====  =======
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI AFANYA KIKAO KIZITO BUKOBA LEO.CHAMFUKUZISHA KAZI MEYA NA WENGINE KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA.  MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI AFANYA KIKAO KIZITO BUKOBA LEO.CHAMFUKUZISHA KAZI MEYA NA WENGINE KUCHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA. Reviewed by crispaseve on 15:17 Rating: 5

No comments

Post AD