Header AD

Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar



DSC_0001
Baadhi ya waombolezaji waliofika kwenye msiba wa Mzee Arnold Nkhoma wakisaini kitabu cha maombelezo nyumbani kwa mmoja wa mabinti wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma.
DSC_0007
Baadhi ya waombolezaji wakimfariji mmoja watoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch (katikati).
DSC_0074
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mtoto wa marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma, Changanyikeni - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
DSC_0096
Roy Ledama (kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya waombolezaji.
DSC_0109
Familia ya Marehemu Mzee Arnold Nkhoma pamoja na waombolezaji wakipata chakula cha mchana kabla ya kutoa heshima za mwisho.
DSC_0114
DSC_0148
DSC_0167
DSC_0198
Gari lilibeba mwili wa Marehemu Mzee Arnold Wifred Nkhoma likiwasili nyumbani kwa binti yake Changanyikeni, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
DSC_0201
DSC_0231
Wajukuu wa marehemu wakiwa wamebeba Jeneza la Babu yao kuliingiza ndani tayari kwa heshima za mwisho kabla ya kuelekea Kanisani kwa Ibada.
DSC_0238
DSC_0264
Mwili wa Mzee Arnold Wifred Nkhoma tayari kwa kutoa heshima za mwisho.
DSC_0330
Familia ya karibu ya marehemu.
DSC_0290
Kushoto ni mabinti wawili wa Marehemu wakiwa na ndugu zao wakaribu kwenye majonzi mazito.
DSC_0275
Vitukuu wa marehemu mzee Arnold Nkhoma.
DSC_0285
DSC_0295
Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho.
DSC_0345

DSC_0360
Mtoto wa Marehemu Prof. Alice Wamunza Nkhoma akitoa heshima za mwisho kwa baba yake mpendwa Mzee Arnold Nkhoma.
DSC_0363
Mtoto wa marehemu Bi. Agnes Nkhoma Darch akitoa heshima kwa baba yake.
DSC_0366

DSC_0368
Mjukuu mkubwa wa marehemu Bi. Usia Nkhoma Ledama akitoa heshima za mwisho kwa babu yake.
DSC_0372
Vilio na simanzi vilitawala.
DSC_0374
Ndugu wa karibu wa marehemu wakiendelea kutoa heshima za mwisho.
DSC_0379
Mama Usia na mjukuu wake Vanessa Roy Ledama wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu.
DSC_0381
Mjukuu wa marehemu Bi. Sawiche Wamunza Nkhoma akitoa heshima za mwisho kwa babu yake.
DSC_0383

Kwa picha zaidi bofya hapa
Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar Mzee Arnold Wifred Nkhoma apumzishwa kwenye nyumba yake ya milele makaburi ya Kinondoni jijini Dar Reviewed by crispaseve on 13:15 Rating: 5

No comments

Post AD