Rais Jakaya Kikwete Apokea Hati za Utambulisho Kutoka Kwa Balozi Mpya wa Comoro Nchini Tanzania Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih IKULU Jijini Dar es Salaam Leo

Rais
Jakaya Mrisho kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa
Comoro Mhe Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam
leo January 11, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiangalia ngao aliyopewa zawadi baada
ya kupokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi wa Comoro Mhe Ahamed
El Badaoui Mohamed Fakih
ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwa balozi wa Comoro Mhe
Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih ikulu jijini Dar es salaam leo January 11, 2014

Rais
Jakaya Mrisho kikwete akiongea na balozi wa Comoro Mhe Ahamed El
Badaoui Mohamed Fakih baada ya kupokea hati zake za utambulisho ikulu
jijini Dar es salaam leo January 11, 2014. Aliyeketi kushoto ni
mkalimani.Picha na IKULU
Rais Jakaya Kikwete Apokea Hati za Utambulisho Kutoka Kwa Balozi Mpya wa Comoro Nchini Tanzania Ahamed El Badaoui Mohamed Fakih IKULU Jijini Dar es Salaam Leo
Reviewed by crispaseve
on
12:48
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
12:48
Rating:

Post a Comment