Header AD

SEMINA YA WAFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZIKA LEO TRIPLE “A” JIJINI ARUSHA



1
Meneja Mkuu wa kampuni hiyo nchini China Justin Luvanda akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina ya siku mbili kwa wafanya biashara hao iliyomalizika leo, kuhusu mfumo utakaosaidia wafanyabiashara wadogo wa Tanzania kutafuta masoko ya bidhaa nchini China na kuwapa taarifa sahihi za masoko kwa msaada wa kampuni hiyo,Mfumo huo hautampa gharama kubwa mfanyabiashara kama vile Usafiri , Chakula, Hoteli.kwani hatalazimika kusafiri kwenda China ili kununua bidhaa badala yake kampuni hiyo itamuagizia na kumfikisha mahali alipo ama kumshauri ni njia gani anaweza kutumia kupata bidhaa kutoka China.2
Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania akizungumza na wafanya biashara wadogo na wakati kwenye ukumbi wa Triple A jijini Arusha wakati wa Semina kwa wafanya biashara hao iliyomalizika leo 3Shafii Mwaijande Ofisa Mtendaji Mkuu wa China Word Buz kwa upande wa Tanzania kulia akiwa na Ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya China Word Buz na mwakilishi wa wamiliki wa viwanda 45 nchini China vilivyoingia mkataba wa kibiashara na kampuni hiyo China Bwana Cheng Wang Wu 4
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia madsa katika semina hiyo . 5
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo. 6
Baadhi ya wafanyabiashara wakifuatilia mada kuhusu mifumo ya ufanyaji kazi wa kampuni hiyo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-ARUSHA)
SEMINA YA WAFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZIKA LEO TRIPLE “A” JIJINI ARUSHA SEMINA YA WAFANYA BIASHARA NA KAMPUNI YA CHINA WORLD BUZ YAMALIZIKA LEO TRIPLE “A” JIJINI ARUSHA Reviewed by crispaseve on 23:00 Rating: 5

No comments

Post AD