BREAKING NEWZZZ:- RAIS KAGAME APATA AJALI KENYA LIVE!!

Watu wawili wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha mojawapo ya magari ya
msafara wa magari ya Rais Paul Kagame nchini Kenya.Rais
Mwenyewe hata hivyo hakujeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea saa mbili
asubuhi katika eneo la Limuru eneo la Kati mwa Kenya.Gari hilo
hata hivyo lilipoteza mwelekeo likiwa mbali na msafara wenyewe.Dereva wa
gari hilo alipoteza mwelekeo katika barabara kuu ya
Nairobi-Limuru.Waliojeruhiwa walipelekwa hospitalini.Rais Kagame alikuwa
anarejea mjini Nairobi kutoka katika kongamano la magavana wa Kenya
mjini Naivasha katika bonde la ufa .Kwa sasa Kagame anakutana na Rais
Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya Rais.Kagame alialikwa...
BREAKING NEWZZZ:- RAIS KAGAME APATA AJALI KENYA LIVE!!
Reviewed by crispaseve
on
04:35
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
04:35
Rating:

Post a Comment