MAWAZIRI WAANZA KWA TAMBO, MWANZA WAPONDA UTEUZI
Mhe.
Mwigulu Lameck NCHEMBA Naibu Waziri wa Fedha na Mhe. Adam Kighoma Ali
MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha na baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya
fedha. (PICHA NA IKULU)
MAWAZIRI na manaibu waziri walioteuliwa kushika
nafasi mbalimbali jana waliapishwa na Rais Jakaya Kikwete katika viwanja
vya Ikulu jijini Dar es Salaam, huku baadhi yao wakianza na tambo za
uwajibikaji na wengine wakiomba ushirikiano wa karibu kutoka kwa wadau
ili waweze kutimiza majukumu yao.
Rais
Kikwete na Mhe. Mathias Meinrad CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani
wakiwa na wakuu wa vyombo vilivyo chini ya Wizara ya...
MAWAZIRI WAANZA KWA TAMBO, MWANZA WAPONDA UTEUZI
Reviewed by crispaseve
on
04:33
Rating:

Post a Comment