TAMASHA LA KWANZA LA AINA YAKE KUFANYIKA DAR LIVE
Meneja
Uhusiano wa Angels Moment, Bibi Beatrice Millinga akizungumza na akizungumza na
wanahabari (hawapo pichani) juu ya lengo la Tamasha hilo ambapo Mgeni rasmi wa Tamasha hili
anaterajiwa kuwa Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama
Asha Bilal.
Mkurugenzi wa
Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment Bibi Pamela David (Wa pili
Kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la Wanawake
na Akiba linalotarajiwa kufanyika nchini Tanzania lenye lengo la kuongeza na
kuchochea uelewa wa wanawake katika kuchangamkia fursa mbalimbali za kujiwekea
akiba. Wengine pichani ni Mratibu wa Tamasha, Bibi Teddy Mapunda (Kushoto),
Mratibu wa Matangazo na Mahusiano wa Said
Salim Bakhresa (SSB), Bw. Mohamed Ramadhan (Wapili
Kulia) na Meneja Uhusiano wa Angels Moment, Bibi Beatrice Millinga (Kulia).
Mratibu wa Matangazo na Mahusiano wa Said Salim Bakhresa (SSB) mojawapo
wa wadhamini wa Tamasha, Bw. Mohamed Ramadhan
(Katikati) akizungumza na akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu
nafasi ya wanawake na vijana kwenye uchumi wa nchi. Wengine pichani ni Mkurugenzi
wa Habari na Matukio wa Kampuni ya Angels Moment Bibi Pamela David (Kushoto) na
Meneja Uhusiano wa Angels Moment, Bibi Beatrice Millinga (Kulia).
TAMASHA LA KWANZA LA AINA YAKE KUFANYIKA DAR LIVE
Reviewed by crispaseve
on
05:49
Rating:

Post a Comment