
Basi lililowabeba wachezaji wa Azam.
Baada ya kuweka rekodi mpya ya kutwaa taji la ligi ya
mabingwa Tanzania bara, wanalambalamba wa Azam wametua leo katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere na kulakiwa kwa shangwe na
mamia ya mashabiki na wapenzi wa timu hiyo.
Post a Comment