Header AD

LUPITA NYONG’O AMUANIKA KINYOZI WAKE.


Lupita Nyong’o
Mshindi pekee wa tuzo za Oscar kutoka barani Africa na balozi wa vipodozi vya Lancome, muigizaji raia wa Kenya  ‘Lupita Nyong’o’ amemwanika mtu anayependezesha kichwa chake na kumfanya awe na staili ya kipekee kama vile wafanyavyo mastaa wengine wakubwa.
Staa huyo wa filamu ya 12 Years a slave aliposti picha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram akiwa na kinyozi wake na kuandika ujumbe uliokuwa ukimsifia..”Anybody can cut hair off, but a barber knows when and where to stop. @MrBarberJ  #shoutout #tbt#brooklyn style enhancing my smile”. Aliandika Lupita

Lupita hair stylish
LUPITA NYONG’O AMUANIKA KINYOZI WAKE. LUPITA NYONG’O AMUANIKA KINYOZI WAKE. Reviewed by crispaseve on 14:40 Rating: 5

No comments

Post AD