Header AD

FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA


Na Gladness Mallya
STAA wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amefunguka kuwa ubize wa kulea mwanaye ndiyo umemfanya avunje urafiki na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’.
Flora Mvungi akiwa na shosti wake, Salma Jabu ‘Nisha’.
Flora alifunguka hayo juzikati baada ya paparazi wetu kumuuliza juu ya taarifa zinazodai kuwa wawili hao wamepishana kauli na kila mmoja kuishi kivyake.…
FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA FLORA: MTOTO KAVUNJA URAFIKI WETU NA NISHA Reviewed by crispaseve on 02:04 Rating: 5

No comments

Post AD