washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(wa pili kulia) akiwa katika picha ya
pamoja na washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na
Serengeti mara baada ya kukabidhiwa zawadi zao mapema leo katika Kiwanda
cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam kutoka kushoto Henry Martin,
Bruno Thobias na Alex Vicent(wa kwanza kulia) ambao wamejipatia
ving’amuzi na simu aina ya Samsung Galaxy Tablet.
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(kushoto) akiongea kwa njia ya simu
na mmoja wa washindi wa droo ya tisa ya Winda Safari ya Brazili na
Serengeti wakati wa droo ya tisa iliyofanyika mapema leo jijini Dar es
Salaam, anayemshuhudia ni Afisa Mwandamizi kutoka PWC Golder Kamuzora.
Meneja
wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo(wa pili kulia) akitoa ufafanuzi wa
jambo kwa wana habari mara baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa
droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti mapema leo katika
Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam kutoka kushoto ni
Bruno Thobias, Henry Martin na Alex Vicent (wa kwanza kulia).
washindi wa droo ya nane ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao
Reviewed by crispaseve
on
02:09
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
02:09
Rating:




Post a Comment