Header AD

PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA JILI YA MISITU YA MILIMA YA TOA YA MASHARIKI_HYATT REGENCT HOTEL DAR ES SALAAM



Makamu waRais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi picha iliyopigwa mnada Bw Robert Vyampiga wa( DECO) Baada ya Kuinunua kwenye Harambe ya kuchangisha Fedha za Kuwezesha Uhifadhi wa Misitu ya Milima ya Toa la Mashariki iliyafanyika kwenye Hotel ya Hyalt Regency Jijini Dar es Salaam.(Picha OMR}
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilali akizindua Tovuti ya (EAMCEF)kwajili ya kuwezesha kuchangia kwa njia ya mtandao kwenye,Hafla ya kuchangisha Fedha za Uhifadhi wa Misitu ya Milima ya Toa ashariki iliyofanyika kwenye hotel ya Hyatt Regency, Jijini Dar es Salaam.
MBM 0869 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye Hafla ya kuchangisha Fedha za kuwezesha Uhifadhi wa misitu ya milima ya Toa la mashariki kwenye ahotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA JILI YA MISITU YA MILIMA YA TOA YA MASHARIKI_HYATT REGENCT HOTEL DAR ES SALAAM PICHA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS-IKULU:MAKAMU WA RAIS DKT BILAL MGENI RASMI KWENYE HAFLA YA KUCHANGISHA FEDHA KWA JILI YA MISITU YA MILIMA YA TOA YA MASHARIKI_HYATT REGENCT HOTEL DAR ES SALAAM Reviewed by crispaseve on 23:10 Rating: 5

No comments

Post AD