Picha:Hebu Jionee Mwenyewe Jinsi Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye Alivyoupoteza Upinzani Chuo Kikuu Cha SAUT Mwanza,Zaidi ya Wanafunzi 86 wa Chuo Wajiunga na CCM na Wanachama Wapya 420 Wamejiunga na CCM.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wanachama wa Tawi la
CCM SAUT Kambarage na wananchi wa Nyamalango ,wilaya ya Nyamagana Mwanza
ambapo aliwaambia kuwa CCM itaendelea kuongoza kwani ndio chama pekee
chenye sera inayoeleweka kwa wananchi,mipango na ahadi zake
zinatekelezwa kila kona ya nchi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipokea kadi ya CHADEMA kutoka
kwa Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustine Ndugu
Simon Philbert Macheyeki ambaye amejiunga rasmi na CCM,katika mkutano
huo zaidi ya wanafunzi 86 wa chuo hiko wamejiunga na CCM na wanachama
wapya 420 wamejiunga na CCM.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimkabidhi kadi ya CCM
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine
Ndugu Simon Philbert Macheyeki ambaye amejiunga rasmi na CCM,katika
mkutano huo zaidi ya wanafunzi 86 wa chuo hiko wamejiunga na CCM na
wanachama wapya 420 wamejiunga na CCM.
Kadi za wanachama wapya waliojiunga na CCM kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine Mwanza.
Wanachama wapya 420 wajiunga na CCM kutoka Chuo Kikuu cha SAUT Wilaya ya Nyamagana.
Rais
wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustine
Ndugu Simon Philbert Macheyeki akila kiapo cha kujiunga na CCM kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika Nyamalango wilayani Nyamagana.
Picha:Hebu Jionee Mwenyewe Jinsi Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye Alivyoupoteza Upinzani Chuo Kikuu Cha SAUT Mwanza,Zaidi ya Wanafunzi 86 wa Chuo Wajiunga na CCM na Wanachama Wapya 420 Wamejiunga na CCM.
Reviewed by crispaseve
on
23:12
Rating: 5
Post a Comment